Umeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
 
Katika [[mazingira]] ya [[mji]] wa [[Baghdad]] ya baadaye kuna vyombo vilivyogunduliwa na [[wanaakiolojia]] kufaa kama aina ya [[beteri]]. Vilitengenezwa kwa [[udongo]] wa [[mfinyanzi]] mnamo [[karne ya 1 KK]] katika [[milki]] ya [[Parthia]] na ndani yake mlikuwa na [[nondo]] ya [[chuma]] katika [[silinda]] ya [[shaba]]. Ma[[jaribio]] katika [[makumbusho]] yalionyesha ya kuwa inawezekana kupata volteji ya 0.5 volti katika vyombo hivi kwa kuvijaza na [[maji ya zabibu]]. Lakini haijulikani kwa uhakika vyombo hivyo vilikuwa na [[kazi]] gani hali halisi.
 
[[File:M Faraday The philip oil 1842.jpg|thumb|upright|alt=Half-length portrait oil painting of a man in a dark suit |[[Michael Faraday]]mgunduzi wa teknolojia ya mota za umeme]]
[[Utafiti]] wa kisayansi wa umeme unajulikana kuanza katika [[karne ya 17]] katika [[bara]] la [[Ulaya]]. Tangu mwaka [[1601]] [[Mwingereza]] [[William Gilbert]] alifanya majaribio mbalimbali ya umeme tuli akatambua tofauti kati ya umeme tuli na usumaku.