Umeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 44:
 
[[Michael Faraday]] wa [[Uingereza]] alitamka [[sheria]] ya [[mdukizo umeme]] akaendelea kuelewa sheria za [[elektrolisisi]]. Kwa njia hiyo aliweka misingi kwa mitambo ya [[telegrafi]].
[[File:M Faraday Th Phillips oil 1842.jpg|thumb|upright|alt=Half-length portrait oil painting of a man in a dark suit |[[Michael Faraday]]mvumbuzi wa teknolojia ya mota zinazotumia umeme]]
 
Mwaka [[1864]] [[James Clerk Maxwell]] wa [[Uskoti]] alieleza misingi ya nadharia ya uga wa sumakuumeme katika [[hesabu]] inayoitwa [[milinganyo ya Maxwell]]. Alifaulu kuunganisha maelezo kwa ajili ya umeme, usumaku na [[elimumaonzi]] kuwa pande mbalimbali za kitu kilekile, yaani uga wa sumakuumeme. Alitabiri kuwepo kwa ma[[wimbi]] ya sumakuumeme na [[nuru]] kuwa umbo mojawapo la mawimbi haya.