Umeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 32:
 
[[Mwamerika]] [[Benjamin Franklin]] alitambua mwaka [[1752]] [[uhusiano]] kati ya umeme kutokana na msuguano na umeme wa radi. Akabuni [[ufito wa kuzuia radi]] akiueleza kama [[kipitishi]] kati ya upande hasi na upande chanya.
[[File:Franklin-Benjamin-LOC.jpg|thumb|left|upright|alt=A half-length portrait of a bald, somewhat portly man in a three-piece suit.|[[Benjamin Franklin]] conducted extensive research on electricity in the 18th century, as documented by [[Joseph Priestley]] (1767) ''History and Present Status of Electricity'', with whom Franklin carried on extended correspondence.]]
 
Mnamo [[1770]] [[tabibu]] [[Mwitalia]] [[Luigi Galvani]] alifanya majaribio ya kusababisha mitukutiko ya miguu ya [[chura]] aliyechinjwa kwa msaada wa [[mashine ya umeme]]. Hivyo ilitambuliwa ya kwamba umeme una kazi hata katika mwendo wa [[mwili]] na [[musuli]].