Lionel Messi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 8:
 
Alianza kuchezea timu ya wakubwa mwaka 2003, akiwa anavaa [[namba]] 19 [[mgongo|mgongoni]],wakati namba 10 ilikuwa inavaliwa na [[Mbrazili]] [[Ronaldinho]].
[[File:Lionel Messi Barca training.jpg|thumb|Messi kipindi cha mazoezi mwaka 2006]]
 
Aliaanza kuingia kwenye [[historia]] ya [[soka]] [[duniani]] mwaka [[2009]] baada ya kuiwezesha Barcelona kutwaa [[ubingwa]] wa klabu bingwa [[Ulaya]] ([[UEFA]]), na [[FIFA]] kumpa [[tuzo]] ya mwanasoka bora wa dunia.