Ufinyanzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Makingpottery.jpg|thumbnail|Chungu kinafinyangwa juu ya gurudumu wa mfinyanzi]]
'''Ufinyanzi''' ni [[teknolojia]] na [[ufundi]] wa kutengeneza vyombo kwa matumizi ya [[binadamu]] kwa kutumia [[udongo wa mfinyanzi]] au [[kauri]].
[[File:Potter working, Bangalore India.jpg|thumb|mfinyanzi akiwa kazini mjini [[Bangalore]], [[India]]]]
 
[[Udongo]] wa ufinyanzi unapewa [[umbo]] unaotakiwa, kukaushwa, kupambwa na kuchomwa kwa [[moto]] na kwa njia hii vyombo vigumu vinatokea kwa matumizi yanayotakiwa kama vile [[sahani]], [[bakuli]], [[chungu]], [[kikombe]] au [[birika]].