Tofauti kati ya marekesbisho "Haki"

334 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5167661 (translate me))
Kwa [[Kigiriki]] inaitwa ''dikaiosyne'', kutokana na neno asili ''dike'' yaani ''anayeelekeza'' na kwa hiyo pia ''mwongozo, utaratibu''. Tofauti na ''[[nomos]]'', yaani sheria inayoongoza wanyama pia, ''dike'' inahitajiwa na [[binadamu]] ili kuishi kwa utaratibu. Ni kinyume cha ''bie'', ukatili, nguvu inayoangamiza. ''Dikaios'' (mwenye kujali haki), ni mtu anayemtendea kila mmoja haki yake. ''Dikaia zoe'' ni maisha ya kiutu yanayopingana na ''[[hybris]]'' (kiburi) na ushenzi.
 
Kwa [[Kilatini]] kutokana na neno ''jus'', haki, linapatikana neno ''justus'', mwenye kujali haki, na hatimaye ''justitia'', iliyo [[adili]] la msingi la utu linalotufanta tumpatie mwingine anachostahili.maana ya haki inatofautiana na kila [[utamaduni]]. Ka tika maana ya kwanza kabisa ambayo ilitafsiliwa na filosofia wa kigiriki [[Plato]] kwenye kazi yake '' kwaJamhuri ''. Kutokana na historia dhana mbalimbali zimegunduliwa.
 
==utambulishaji wa uelewa==
[[File:Luca Giordano 013.jpg|thumb|haki ilivyoonyeshwa na [[Luca Giordano]].]]
 
[[Jamii:Maadili]]
69

edits