Tofauti kati ya marekesbisho "Pasifiki"

448 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
Tengua pitio 961033 lililoandikwa na 41.222.181.177 (Majadiliano)
(Tengua pitio 961033 lililoandikwa na 41.222.181.177 (Majadiliano))
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Calebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya Mashariki]].
 
Jina la Pasifiki (Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.
Jina la Pasifiki
 
{{mbegu-jio}}
 
[[Jamii:Bahari]]
Jina la [[Jamii:Pasifiki]]