Tofauti kati ya marekesbisho "Pasifiki"

86 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(Tengua pitio 961033 lililoandikwa na 41.222.181.177 (Majadiliano))
[[Picha:Pacificocean.PNG|thumb|right|300px|Bahari ya Pasifiki dunianikatika dunia.]]
'''Pasifiki''' ni [[bahari]] kubwa kuliko bahari zote [[duniani]].
 
Pasifiki iko kati ya [[Bara la Amerika]] kwa upande wa [[mashariki]] na [[Bara la Asia]] / [[Australia]] upandaupande wa [[magharibi]]. Eneo lake ni karibu nusu ya uso wa dunia.
Eneo lake ni [[kilometa za mraba]] milioni 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko nchi kavu yote duniani.
Visiwa vyake vingi huhesabiwa mara nyingi pamoja na Australia kama "[[Australia na Pasifiki]]".
 
Pasifiki ina kina cha wastani wa [[mita]] 4,028; kina kikubwa katika [[mfereji wa Mariana]] kinafikia mita 11,034.
[[Picha:Pacific Ocean surface 1.jpg|thumb|left|200px|Pasifi inayoonekana kutoka angani; Australia iko upande wa kushoto chini]]
Kuna visiwa zaidi ya 25,000 katika Pasifiki vingi ni vidogo sana.
 
Eneo lake ni [[kilometa za mraba]] [[milioni]] 179.7 ambayo si bahari kubwa tu bali pia ni eneo kubwa kuliko [[nchi kavu]] yote duniani.: ni karibu [[nusu]] ya uso wa dunia.
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Calebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya Mashariki]].
 
VisiwaKuna vyake[[visiwa]] zaidi ya 25,000 katika Pasifiki; vingi ni vidogo sana. [[Visiwa]] hivyo huhesabiwa mara nyingi pamoja na [[Australia]] kama "[[Australia na Pasifiki]]".
Jina la Pasifiki (Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.
 
Pasifiki ina [[kina]] cha [[wastani]] wa [[mita]] 4,028; kina kikubwakirefu katika [[mfereji wa Mariana]] kinafikia mita 11,034.
[[Picha:Pacific Ocean surface 1.jpg|thumb|left|200px|PasifiPasifiki inayoonekanainavyoonekana kutoka [[anga|angani]]; Australia iko upande wa kushoto chini.]]
 
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya CalebesCelebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya Mashariki]].
 
[[Jina]] la Pasifiki (kwa [[Kilatini]]: yenye [[amani]], yaani [[kimya]]) limetokana na [[Wazungu]] wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka [[1520]] [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.ù
 
Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha ma[[wimbi]] haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza [[miji]] na [[vijiji]] [[ufuko]]ni.
 
{{mbegu-jio}}