Ashuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Ashuru hadi Ashuru (maana)
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ashuru''' ([[ebr.]] אַשּׁוּר ) ni jina la mtu katika [[kitabu cha Mwanzo]] cha [[Biblia]].
#REDIRECT [[Ashuru (maana)]]
 
Kufuatana na masimulizi ya Mwanzo 10:11 alikuwa mwana wa pili wa [[Shemu]] mwana wa [[Nuhu]]. Kaka zake waliitwa Elamu, Arfaksadi, Ludi na Aramu<ref>Mwa 10:22 : "Wana wa Shemu walikuwa: Elamu, Ashuru, Arfaksadi, Ludi na Aramu. "</ref>.
Hakuna taarifa katika Biblia kuhusu ukoo wa Ashuru.
 
Ashuru ni pia jina la [[mji wa Ashuru]] na [[milki ya Ashuru]] na maeneo yao.
 
Katika Mwa. 10:11 haieleweki vizuri kama jina "Ashuru" linamtaja mtu au mji<ref>Mwa 10:11 "Kutoka katika nchi ile alikwenda Ashuru, ambako alijenga Ninawi, Rehoboth-iri, Kala ..." - hii ni tafsiri ya "Biblica" ambayo katika aya hii inashika vizuri namna ya lugha ya Kiebrania isiyosema wazi kama mtendaji wa aya iliyotangulia (=Nimrodi) anakwenda Ashuru (=Mahali) anapojenga Ninawi, au kama ni mtu kwa jina la Ashuru anayetoak mahali palipotajwa awali na kujenga Ninawi </ref>. Matoleo ya Biblia kwa lugha mbalimbali zinatafsiri tofauti hapa.
 
 
[[jamii:Watu wa Biblia]]