Alama ya swali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Alama hii imetokana na mwandiko wa Kilatini na inajulikana tangu karne ya 9 BK ailipoanza kupatikana kwenye maandiko yaliyotoka kwenye ofifi ya mfalme [[Karolo Mkuu]].
[[Picha:Quaestio.svg|thumbnail|kutokea kwa alama ya swali kutoka neno "quaestio"]]
Hakuna uhakika juu ya asili kamili lakini wataalamu wengi wanahisi ya kwamba waandishi walimaliza kila sentensi ya swali kwa neno "quaestio" (yaani "swali" kwa [[Kilatini]]). Neno hili lilifupishwa kwa kuandkia herufi za kwanza na za mwisho pekee hivyo: '''<big>qo</big>'''. Kifupi hiki kiliandikwa kwa kuweka herufi moja juu ya nyingine <math>\tfrac{q}{o}</math> na herufi ya "q" haikufungwa tena.