Vita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
* vita ya watu wa koloni au nchi lindwa dhidi ya serikali ya kikoloni au nchi inayotawala
 
Asili ya vita ilikuwa mapambano kwa silaha kati ya makabila au vijiji mbalimbali. Baada ya kutokea kwa [[madola]] ilikuwa zaidi serikali au watawala wa madola walioamua juu ya vita.
 
[[Picha:Exercise_Desert_Rock_I_(Buster-Jangle_Dog)_001.jpg|thumb|300px|Mlipuko wa silaha ya nyuklia 1951]]
== Watekelezaji wa vita ==
Watekelezaji wa vita huitwa [[askari]] au wanajeshi. Historia imejua vipindi ambako wanaume wote wa nchi fulani walitakiwa kushika silaha na kushiriki katika mapigano. Palikuwa pia na vipindi na utamaduni ambako wapiganaji walikuwa watu wa pekee wenye jukumu hii ama kwa sababu walipaswa kuwa askari kufuatana na sheria za nchi au kwa sababu walikodiwa kwa kazi hii.