Content deleted Content added
Mstari 533:
::Nawazaje pakia faili kwenye wikipedia Kiswahili? Hata kuiamisha kutoka kimombo?'''[[Mtumiaji:Nyanchoka|Nyanchoka]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Nyanchoka|majadiliano]])''' 22:36, 7 Novemba 2015 (UTC)
:::Kuhamisha kutoka Kimombo? Hapana, unaweza kuanzisha makala mapya juu ya mada hii. Nenda ukurasa wa [[Wikipedia:Mwongozo_%28Anzisha_makala%29]] angalia chini sehemu ya "Kuanzisha makala", halafu fuata maelezo. Unaweza kutumia dirisha linaloonekana palepale juu ya sehemu buluu penye maandishi meupe "Anzisha makala yenye jina hili". Katika dirisha hii weka jina la makala unayotaka kuanzisha. Bofya kwa puku kwenye sehemu ya buluu, mara moja unapata ukurasa mpya. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala#top|majadiliano]])''' 22:59, 7 Novemba 2015 (UTC)
==sensa ya mwaka 212==
Habari! mzee kipara nimejaribu kuingia katika link ulionitumia kuhusu sensa ya mwaka212 lakini kwa bahati mbaya haifunguki inawezekana ulikosea kuituma. Ahsante'''[[Mtumiaji:Enock John|Enock John]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Enock John|majadiliano]])''' 12:20, 13 Novemba 2015 (UTC)