Barabara ya mchipuko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '==barabara ya mchipuko== Ni barabara ambazo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo {{{barabara ya mchipuko}}} husaidia sana kupunguza m...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:56, 14 Novemba 2015

barabara ya mchipuko

Ni barabara ambazo hutumika pale ambapo kunakuwa na matengenezo ya barabara ambapo {{{barabara ya mchipuko}}} husaidia sana kupunguza msongamano wa {{{magari}}} hasa katika miji mikubwa. Barabara hizi husaidia pia kurahisisha usafirishaji wa mizigo pamoja na abiria kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine