'''Madawa ya kulevya''' ni [[hatari]] sana kwa [[binadamu]] kwa kuwa madawa hayo husababisha [[Ugonjwa|magonjwa]] kama [[mapafu]] na [[utindio wa ubongo]]
kuharibika.
Mfano wa madawa hayo ni kama [[kokaini]].
Kuna watu wengi walioathiriwa na madawa ya kulevya, lakini yanazidi kuenea kwa sababu ni [[biashara]] kubwa inayoingiza [[pesa]] nyingi.
Serikali inatakiwa kutoa [[elimu]] kuhusiana na [[dhara|madhara]] yatokanayo na matumizi ya madawa ya kulevya, kwani ni hatari kwa maisha ya binadamu.