Sifuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Nyongeza namba ya Kiarabu
Mstari 1:
[[FilePicha:Text0 figuresnumber 036LZNQBD.svgjpg|thumb|71px|right|Tarakimu kadhaa zinavyoandikwasifuri.]]
'''Sifuri''' (kutoka [[Kiarabu]] ''sifr'' iliyotafsiri [[neno]] la [[Kisanskrit]] ''sunya'' lenye maana ya ''mahali patupu'') ni [[namba]] ya pekee ambayo haina thamani peke yake, mpaka iandikwe baada ya namba nyingine yoyote. Kwa kawaida inaandikwa '''0''' lakini '''٠''' kwa [[namba za Kiarabu]].

Kwa [[Kiswahili]] namba hiyo inaitwa pia '''ziro''' kutokana na neno hilohilo la Kiarabu lakini kwa kupitia [[Kiitalia]], [[Kifaransa]] na hatimaye [[Kiingereza]] (inapoandikwa ''zero'').
 
Sifuri kama namba ilianza kutumika [[India]] katika [[karne ya 9]] [[BK]].