27 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 147 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2884 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1696]] - [[Alfonso Maria wa Liguori]], [[askofu]] Mkatoliki na [[mwalimu wa Kanisa]] kutoka [[Italia]]
* [[1856]] - [[Karl Peters]], mwanzilishi wa koloni ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]
* [[1918]] - [[Martin Ryle]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1974]])