Sifuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza namba ya Kiarabu
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:0 number LZNQBD.jpg|thumb|71px|right|Tarakimu sifuri.]]
'''Sifuri''' (kutoka [[Kiarabu]] ''sifr'' iliyotafsiri [[neno]] la [[Kisanskrit]] ''sunya'' lenye maana ya ''mahali patupu'') ni [[namba]] ya pekee ambayo haina thamani peke yake, mpaka iandikwe baada ya namba nyingine yoyote. Kwa kawaida inaandikwa '''0''' lakini '''<big><big>٠</big></big>''' kwa [[namba za Kiarabu]].
 
Kwa [[Kiswahili]] namba hiyo inaitwa pia '''ziro''' kutokana na neno hilohilo la Kiarabu lakini kwa kupitia [[Kiitalia]], [[Kifaransa]] na hatimaye [[Kiingereza]] (inapoandikwa ''zero'').