Kenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza namba ya Kiroma na ya Kiarabu
dNo edit summary
Mstari 1:
[[File:Evo9glyph.svg|x50px|thumb|right|Mabadiliko katika kuandika tisa.]]
'''Kenda''' ni [[Kiswahili]] asilia kwa namba 9. Kwa kawaida inaandikwa '''9''' lakini '''IX''' kwa [[namba za Kiroma]] na '''<big><big>٩'''</big></big> kwa [[Namba za Kiarabu|zile za Kiarabu]].
 
Neno hili ni la asili ya [[Kibantu]]. Siku hizi neno "[[tisa]]" ambalo ni neno leye asili ya [[Kiarabu]] hutumiwa zaidi kutaja namba 9, pamoja na [[tisini]] (tisa mara [[kumi]]).