Hisabati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 6:
Hisabati linaundwa na masomo mbalimbali, kama [[hesabu]], [[jiometria]] na [[aljebra]].
 
Neno hisabati katika [[lugha]] ya [[Kiswahili]] limetokana na neno la [[Kiarabu]] حساباتي (kwa sisisihalisi: hesabu zangu).
 
Somo hili huweza kutumika kutatua ma[[tatizo]] mbalimbali, lakini hasa ni la msingi katika uelewa wa [[ulimwengu]] ki[[sayansi]]. Hivyo hutumiwa na masomo mengine kama [[Fizikia]], [[Jiografia]], [[Kemia]] katika mafunzo yake.