Kipindupindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
Kipindupindu husababishwa na bakteria aina ya [[Vibrio cholerae]] zinazosababisha kuhara majimaji yenye rangi kama maji ya kupikia [[mchele]]. Bakteria hiyo ilitambuliwa mwaka [[1854]] na [[Filippo Pacini]]. [[Robert Koch]] alifaulu mwaka [[1883]] kufuga bakteria kutokana na [[utumbo]] wa wagonjwa waliokufa kwa kipindupindu huko [[Misri]].
 
Kipindupindu hutokea hasa katika nchi pasipo maji safi hasa ambako maji ya kunywa na majimajimaji ya [[choo]] yanaweza kuchanganyikana. Bakteria ya vibrio cholerae hupatikana hasa katika [[mavi]] na maji ya choo na pia katika maji ya [[bahari]], ma[[ziwa]] na mito kama maji machafu huingizwa katika ma[[gimba]] ya maji bila kusafishwa kwanza.
 
Vilevile [[samaki]] na vyakula vingine kutoka maji yenye bakteria vinachafuliwa na vinaweza kusababisha [[ambukizo]]. Vilevile vyakula vinavyooshwa kwa maji yaliyochafuliwa na bakteria ya kipindupindu.