Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d kurekebisha mwaka
Mstari 1:
[[File:Muhammadu Buhari - Chatham House.jpg|thumb|Buhari]]
 
'''Muhammadu Buhari''' (amezaliwa tar. [[17 Desemba]] [[1942]]) amekuwa rais wa [[Nigeria]] tangu 29 Mei 2015. Anashika cheo mara ya pili maana aliwahi kuwa rais toka [[31 Desemba]] mwaka [[1983]] hadi [[27 Agosti]] mwaka [[1985]]. Wakati ule aliingia madarakani kama jenerali ya jeshi kwa kumpindua rais aliyechaguliwa [[Shehu Shagari]]. Buhari mwenyewe alipinduliwa mwaka 20051985 na jenerali [[Ibrahim Babangida]].
 
Katika kura za uchaguzi za miaka [[2003]], 2007 na 2011 aligombea urais bila kufaulu. alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa wa mwaka huo, lakini hakuibuka kuwa mshindi. Alirudia kugombea katika kura ya mwaka 2015 aliposhinda dhidi ya rais [[Goodluck Jonathan]] kwa asilimia 54 za kura zote.<ref>[http://www.theguardian.com/world/2015/mar/31/opposition-candidate-muhammadu-buhari-wins-nigerian-election Muhammadu Buhari sweeps to victory (Guardian UK 31 Machi 2015)]</ref>