Njombe (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 26:
Wenyeji ni hasa [[Wabena]].
 
Eneo la Yakobi katika mji wa Njombe linatunza jina la kituo cha Wamisionari Wajerumani waliofika hapa mnamo mwaka 1899. Wakati wa [[Vita ya Majimaji]] kituo cha Yakobi kilishambuliwa na kikosi cha kilichoongozwa na chifu Mbeyela.<ref>[https://books.google.com/books?id=OjjKNNeu6cwC&pg=PA241&dq=njombe&hl=de&sa=X&ved=0ahUKEwiFo_n6-K7JAhVBJw8KHazRCsYQuwUIXDAH#v=onepage&q=njombe&f=false Seth I Nyagava, "Were the Bena traitors? Majimaji in Njombe..", mlango wa 7 katika "Maji Maji: Lifting the Fog of War", James Leonard Giblin, Jamie Monson BRILL, 2010; hapa uk. 247]</ref>
 
==Marejeo==