Ukuta wa Maombolezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Israel-Western Wall.jpg|thumb|Wayahudi wakisali mbele ya Ukuta wa Maombolezo]]
[[Picha:Israel Western Wall.jpg|thumb|Ukuta wa Maombolezo]]
[[Picha:Franciscus kotel.jpg|thumb|[[Papa Fransisko]] kwenye Ukuta wa Maombolezo.]]
'''Ukuta wa Maombolezo''' (KWA [[Kiebrania]]: הכותל המערבי - hakotel hama'ariv ''"ukuta wa magharibi"'') katika [[mji]] wa kale wa [[Yerusalemu]] ni [[patakatifu]] pa [[dini]] ya [[Uyahudi]].
 
==Ukuta wa hekalu la pili==
[[Ukuta]] huuhuo ni mabaki pekee yanayoonekana ya [[hekalu la Yerusalemu]] la pili jinsi lilivyopanuliwa na [[mfalme]] [[Herode Mkuu]] kuanzia mwaka [[20 KK]].
 
[[Hekalu]] hilo lilibomolewa na [[Dola la Roma|Waroma]] mwaka [[70]] [[BK]] wakati wa [[vita ya Waroma dhidi ya Wayahudi]].
 
Ukuta si sehemu ya hekalu lenyewe bali ulikuwa ukuta wa pembeni wa [[uwanja]] uliotengenezwa kwa vifusi kwenye mlima wa hekalu.
 
==Jina==
[[Jina]] la "Ukuta wa Maombolezo" limetokana na [[desturi]] ya Wayahudi walioonyeshakuonyesha [[huzuni]] yao juu ya kuharibiwa kwa hekalu hasa wakisali mahali hapa. [[Asili]] ya jina inaaminiwa kuwa [[lugha]] ya [[Kiarabu]], halafu likaingia katika [[lugha]] nyingi. Kwa [[Kiebrania]] ukuta huitwa "ukuta wa magharibi" tu na hata jina hili limeenea katika lugha mbalimbali.
 
==Umuhimu katika imani ya kiyahudiKiyahudi==
Wayahudi huheshimu mahali hapa kwa sababu ni sehemu ya hekalu la Yerusalemu la mwisho tena sehemu ya mabaki haya yaliyo karibu na [[Patakatifu pa Patakatifu]] pa hekalu lile.