Mwanzi (nyasi) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 85 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35922 (translate me) |
Masahihisho |
||
Mstari 16:
| subdivision = Jenasi 91 na spishi 1,000
}}
'''Mwanzi''' ni jina
Mianzi hupatikana kiasili katika [[Afrika]], [[Amerika]] na [[Asia]] lakini inastawi pia ikipandwa Ulaya.
Mstari 22:
Urefu wa spishi kubwa hufikia kina cha mita 40. Inaweza kukua zaidi ya mita 1 kila siku lakini kwa kawaida ni sentimita 3-5 kwa siku.
Shina
== Matumizi ==
Mianzi ina matumizi mengi kwa [[binadamu]]. Inafaa kwa ujenzi wa [[nyumba]], [[daraja|madaraja]] au [[boti|maboti]].
Wakati ni changa na laini yaani kabla ya kuwa ubao mwanzi unafaa kama chakula baada ya kupikwa. Mtovu unakusanywa pia kama [[kinywaji]] hasa [[pombe]].
Katika utamaduni wa [[China]] ya Kale vipande vya mianzi vilitumiwa kama bao za kuandika matini.
{{wikispecies|Bambuseae}}
[[Jamii:Nyasi na jamaa]]
|