Vita ya Marekani dhidi Hispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 962412 lililoandikwa na 2A03:2880:3010:CFE2:FACE:B00C:0:8000 (Majadiliano)
 
Mstari 1:
[[Picha:10kMiles.JPG|thumb|300px|Uchoraji wa Kimarekani wa 1898 ulionyesha himaya mpya yenye upanuzi wa maili 10,000 kati ya Ufilipino na Kuba]]
''' Vita ya Marekani dhidi ya Hispania''' ilitokea mwaka [[1898]]. Ilianza kwa shambulizi la [[Marekani]] tar.tarehe [[25 Aprili]] dhidi ya [[Puerto Rico]] iliyokuwa [[koloni]] yala [[Hispania]] na kuishia tar.tarehe [[12 Agosti]] 1898, [[jeshi]] la [[Hispania]] katika [[Manila]] ([[Ufilipino]]) lilipojisalimisha. Marekani ilitwaa koloni za Hispania za [[Puerto Rico]], [[Kuba]] na [[Ufilipino]].
 
Hivyo Marekani ilitwaa makoloni ya Hispania ya [[Puerto Rico]], [[Kuba]] na [[Ufilipino]].

Vita hii ilikuwa mwanzo wa Marekani kufuata [[siasa]] ya nje ya upanuzi hata katika maeneo ya mbali. Kabla ya vita hii Marekani ilishughulika kupanua eneo lake kwenye [[bara]] la [[Amerika ya Kaskazini]] dhidi ya wenyeji[[Waindio|wakazi asilia]] na dhidi ya [[Mexiko]].
Marekani ilitumia nafasi ya [[ghasia]] ya wenyeji wa Kuba dhidi ya [[utawala]] wa kikoloni yawa Hispania. Baada ya [[mlipuko]] kwenye [[manowari]] ya Marekani [[USS Maine]] katika [[bandari]] ya [[Havana]], Marekani ilitangaza vita dhidi ya Hispania ingawa sababu ya mlipumlipuko haijajulikana hadi leo ilikuwa nini.
 
Hispania haikuweza kushindana na manowari na [[silaha]] za Marekani zilizokuwa zimeendelea [[teknolojia|kiteknolojia]]. Pia Marekani ilikuwa karibu na mahali pa vita na Hispania ilishindwa kuongeza wanajeshi na silaha.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Historia ya Hispania]]
[[Jamii:Historia ya Marekani]]