GZA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
+tarehe ya kuzaliwa
Mstari 15:
}}
 
'''Gary Grice''' (amezaliwa [[22 Agosti]], [[1966]]) ni msanii wa [[muziki wa hip hop]] kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika kwa jina lake la kisanii kama '''GZA''' na '''The Genius'''. Pia anajulikana kuwa kama mwanachama mwanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop za kigumu la [[Wu-Tang Clan]] na kujumuika nao kwenye maalbamu yao kadhaa - na kisha baadaye kuja kama msanii wa kujitegemea na kupata mafanikio kibao.
 
== Diskografia ==