Jeromu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Tafsiri za Kiingereza: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|fr}} using AWB (10903)
dNo edit summary
Mstari 7:
Mwaka [[1298]] [[Papa Bonifasi VIII]] alimuongezea sifa ya [[mwalimu wa Kanisa]].
 
[[Sikukuu]] yake inaadhimishwa tarehe [[30 Septemba]].
 
== Maisha ==
Alizaliwa mwaka [[347]] huko [[Strido]], sehemu za [[Dalmatia]] .
 
Alisomea hata [[Roma]] miaka ya [[360]] - [[367]], akijipatia [[elimu]] ya hali ya juu, aliyoiendeleza maisha yake yote, pia kwa [[safari]] nyingi [[magharibi]] na [[mashariki]] zilizomwezesha kufahamiana na watu wengi maarufu.
Mstari 20:
Miaka [[375]] - [[377]] akiishi kama [[mkaa pweke]] katika [[jangwa]] la [[Kalchis]], kusini kwa [[Alepo]], [[Siria]], pamoja na kunaliki vitabu, aliendeleza ujuzi wake wa [[Kigiriki]] na kuanza kufundishwa [[Kiebrania]] na [[Myahudi]] aliyeongokea [[Ukristo]].
 
Mwaka [[379]], kisha kupewa [[upadri]] na [[askofu]] [[Paulino wa Antiokia]] alikwenda [[Konstantinopoli]] alipokamilisha ujuzi wake wa [[lugha]] ya [[Kigiriki]] chini ya [[Gregori wa Nazianzo]].
 
Baada ya kuishi kama [[mmonaki]] miaka 3 akarudi Roma ([[382]]) na kuanza kutafsiri vitabu vya [[Origene]], mpaka alipoteuliwa na [[Papa Damaso I]] kuwa [[karani]] na mshauri wake kutokana na sifa aliyokuwanayo kama [[mtawa]] na [[msomi]].
 
Wakati huo alikamilisha ujuzi wake wa Kiebrania kwa msaada wa [[mwalimu wa dini]] ya Kiyahudi, na baada yake akazidi kutegemea elimu ya Kibiblia ya [[dini]] hiyo badala ya mbinu za Origene.
 
kishika [[kazi]], [[saumu]], [[sala]] na ma[[kesha]], alivuta wengi kumfuata [[Kristo]] kwa karibu zaidi hasa [[wanawake]] wa koo bora za Roma waliojifunza pia Kigiriki na Kiebrania ili wazidi kuelewa na kutekeleza [[Neno la Mungu]] chini yake.
Mstari 30:
Ndiyo sababu alikataa vitabu vya [[Deuterokanoni]].
 
Baada ya Papa huyo kufa ([[385]]), upinzani dhidi yake mjini ulizidi, hivyo akahamia [[Mashariki ya Kati]], ambapo [[hija|alihiji]] [[Nchi Takatifu]] na kutembelea wamonaki wa [[Misri]].
 
Hatimaye alianzisha na kuongoza [[monasteri]] kadhaa za kike na za kiume zenye elimu ya hali ya juu, akaishi katika mojawapo huko [[Bethlehemu]], kuanzia mwaka [[386]] mpaka kufa kwake, akitafsiri na kufafanua Biblia hadi dakika yake ya mwisho ([[420]]).
Mstari 41:
Alimuandikia padri Neposyani: “Soma mara nyingi Maandiko ya Kimungu; tena, afadhali mikono yako isitue kamwe [[Kitabu]] kitakatifu. Jifunze humo unachotakiwa kufundisha… Usibandukane hata kidogo na mafundisho ya [[mapokeo]] uliyofundishwa, hivi kwamba uweze kuhubiri kadiri ya [[imani sahihi]] na kupinga wanaoikanusha… Matendo yako yasiachane kamwe na maneno yako, isije ikatokea kwamba unapohubiri kanisani mtu aweze kujisemea, ‘Mbona basi mwenyewe hafanyi hivyo?’ Angewezaje kujadili [[saumu|mfungo]] [[mwalimu]] aliyeshiba? Hata [[mwizi]] anaweza kulaumu [[uroho]]; lakini katika padri wa Kristo, [[akili]] na maneno vinatakiwa kulingana”.
 
Pia aliandika kwamba kila mmoja anatakiwa kuwa na [[ushirika]] na “[[ukulu wa Mt. Petro]]. Najua kwamba Kanisa linajengwa juu ya [[mwamba]] huo”. “Mimi nipo pamoja na yeyote aliyeunganika na mafundisho ya Mt. Petro”.
 
Pamoja na hayo, “katika [[ufafanuzi]] wa Maandiko matakatifu tunahitaji daima msaada wa [[Roho Mtakatifu]]”.
Mstari 59:
Pia alitafsiri vitabu vingine, alitunga [[hotuba]], [[barua]] pamoja na vitabu juu ya maisha ya Wakristo watunzi maarufu zaidi ya 100 (yeye akiwa mmojawao) na ya wamonaki mbalimbali, akilinganisha [[safari]] zao za kiroho na vitabu vya kutetea imani kwa kupinga mafundisho ya wazushi.
 
Vilevile alihimiza wamonaki kuelekea [[ukamilifu]], akafundisha vijana elimu ya kiutu na ya Kikristo na kupokea katika [[hoteli]] maalumu waliohiji Nchi Takatifu ili wasikose [[mapokezi]] kama ilivyowatokea [[Yosefu (mume wa Maria)|Yosefu]] na [[Bikira Maria]].
 
==Sala yake==