Nematodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 22:
Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80,000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spishi inaweza kufikia nusu milioni. Nematodi wengi ni minyoo midogo myeupe au bila rangi inayoishi katika mazingira mabichi.
 
Kati ya nematodi wanaojulikana takriban spishi 15,000 ni kiparasiti ([[vimelea]]) yaani wanaishi ndani ya viumbe wengine. Spishi kadhaa husababisha magonjwa ya wanadamu.
<ref>http://www.apsnet.org/education/feature/celegans/</ref> Mlolongo wa DNA katika uchambuzi wa nematodi umepiga hatua sana, ikiwa ni pamoja na uhusiano wa spishi za miti.<ref>http://www.bionity.com/news/e/108546/</ref>