Kimelea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Parasitismus.jpg|300px|thumbnail|Vimchango vinaishii juu ya bui na kumnyonya]]
'''Kimelea''' (''pia:'' '''kidusia'''<ref>'''Kidusia''' ni pendekezo la [[KAST]] kutokana na kitenzi "kudusa", '''Kimelea''' ni matumizi ya kamusi nyingine za [[TATAKI]] kutokana na "kumea, kumelea"</ref>) ni kiumbehai kinachoshi ndani au juu ya kiumbehai kingine cha spishi tofauti na kupata virutubisho kutokana na mwili wa kiumbe hicho ambacho kwa kawaida ni kikubwa zaidi bila kumpa kiumbe mwenyeji faida yoyote. Mara nyingi kinaleta hasara au kusababisha ugojwa. Vimelea vingi ni vidogo sana vikiishi ndani ya wanayama au binadamu.
 
==Aina za vimelea==