Seli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Epithelial-cells.jpg|thumb|right|Seli za [[ngozi]] ya mtu chini ya [[hadubini]].]]
'''Seli''' (''kutoka [[Kilatini]] cellula = chumba kidogo'') ni [[chumba]] kidogo ndani ya [[mwili]] wa [[binadamu]], [[wanyama]]. [[mimea]] n.k.
 
Mwili wote wa kila [[kiumbehai]] hufanywa na seli. Viumbehai vidogo sana kama [[bakteria]] huwa na seli moja tu. Mwili wa mwanadamu huwa na seli [[trilioni]] 100 au 10<sup>14</sup>.
Line 14 ⟶ 13:
* [[kiini cha seli]],
* [[utando wa seli]] ([[ganda]] la nje) na
* [[Utegili (seli)|utegili]] unaojaza chumba ndani ya utando. Ndani ya utegili kuna sehemu nyingine zenye kazi mbalimbali kama vile [[ribosomu]] au [[dutuvuo]] ([[mitokondria]]). ribos
 
== Aina za seli ==
Kuna aina kuu mbili za seli, nazo niː
* '''Seli ya mnyama''' ni aina ya seli ambazo zinapatikana kwenye miili ya [[wanyama]] wote kama vile binadamu n.k.
* '''Seli ya mmea''' ni aina ya seli zinazopatikana kwenye [[mimea]] yote kama vile [[miti]] n.k.
 
Licha ya kuwa katika sehemu tofauti za [[viumbe hai]], seli hizi zinafanana baadhi ya vitu na kutofautiana pia.
 
Baadhi ya vitu ambavyo vipo kwenye seli ya mnyama na seli ya mmea ni pamoja na:
*Zote zina kiini cha seli
*Zote zina utando wa seli
*Zote zina utegili
 
Tofauti kati ya seli ya [[mnyama]] na seli ya [[mmea]] ni pamoja na:
 
 
<!-- interwiki -->
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Jamii:Biolojia]]