Kiongozi Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 6 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q574707 (translate me)
Jina la familia yake ni "von Zinzendorf" (ilikuwa: mwanzoni znzendorf mwenyewe...)
Mstari 7:
Aliyeanzisha kalenda ni [[Nikolaus Ludwig von Zinzendorf]] aliyewapa ndugu wa ushirika wa kwanza wa Moravian neno la Biblia kama mwongozo kwa siku ya 3 Mei. Tangu siku ile ndugu moja alizunguka kila asubuhi katika nyumba zote 32 za kijiji cha Herrnhut akiwaambia wenzake neno lililowahi kuteuliwa kwa siku ile. Mwaka 1732 maneno ya Biblia yalitolewa mara ya kwanza kwa siku zote za mwaka na kuchapishwa kama orodha katika kitabu.
 
Mwanzoni zinzendorfvon Zinzendorf mwenyewe alichagua maneno kwa ajili ya kila siku. Kwa kila siku ya mwaka aliteua aya ya Biblia pamoja na beti ya nyimbo ya kiroho. Baadaye uteuzi huu ulufanywa katika mkutano wa ushirika wa Herrnhut.
 
==Kuteuliwa kwa maneno ya mwongozo==