Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 12:
|----
| align="center" colspan="2" style="border-bottom:2px solid gray;" |
[[
|----▼
| [[Wimbo wa Taifa]] ||''[[Mungu ibariki Afrika]]''▼
|----
| [[Lugha rasmi]] || [[Kiswahili]] (kwa [[dhati]])
Line 38 ⟶ 40:
| [[Wakati]] || [[UTC]]+3
|----
| Dini za wakazi || [[Dini asilia za
▲|----
▲| [[Wimbo wa Taifa]] ||''[[Mungu ibariki Afrika]]''
|----
| colspan="2" align="right" | [[Picha:Tanzania in its region.svg|thumb|right|280px|Tanzania katika Afrika]]
Mstari 56:
Idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya mwaka [[2012]] walikuwa 44,928,923 (nchi ya 30 duniani) kutoka 34,443,603 waliohesabiwa katika [[sensa]] ya mwaka [[2002]].
[[Msongamano]] ni wa watu 47.5 kwa [[km2]] (nchi ya 124 duniani).
Tanzania ni nchi kubwa zaidi kati ya wanachama wa [[Jumuiya ya Afrika ya Mashariki]].
[[Mji mkuu]] ni [[Dodoma mjini|Dodoma]] (wenye wakazi 410,956), lakini [[makao makuu]] ya [[serikali]] bado yapo [[Dar es Salaam]], [[jiji]] kubwa zaidi, lenye watu zaidi ya milioni 4,364,541.
Majiji mengine ni kama vile [[Mwanza (mji)|Mwanza]] (706,543), [[Arusha (mji)|Arusha]] (416,442), [[Mbeya (mji)|Mbeya]] (385,279), [[Morogoro (mji)|Morogoro]] (315,866)[[Tanga (mji)|Tanga]] (273,332), [[Kahama (mji)|Kahama]] (242,208), [[Tabora (mji)|Tabora]] (226,999) na [[Zanzibar (Jiji)|Zanzibar]] (223,033). == Historia ==
Line 100 ⟶ 102:
* Kodi ya mapato, forodha
* Bandari, Usafiri wa anga, Posta na Simu
== Watu ==▼
''tazama [[Orodha ya makabila ya Tanzania]]''▼
Watu wa Tanzania hawaenei sawasawa. Katika maeneo makavu sana, kuna mtu mmoja tu kwenye kilomita ya mraba (1/km²), lakini sehemu zenye [[rutuba]] za [[bara]], kuna watu 51 kwa kila kilomita ya mraba. Hatimaye huku [[Unguja]] kuna watu 134 kwa kilomita ya mraba na katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]] ni 3,133 kwa kilomita ya mraba.▼
Asilimia 70 hivi huishi [[kijiji|vijijini]].▼
Kuna [[Orodha ya makabila ya Tanzania|makabila 125 hivi]]. Ma[[kabila]] yenye watu zaidi ya [[milioni]] moja ni [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]], [[Wachaga]], [[Waha]], [[Wagogo]], [[Wahaya]], [[Wajaluo]] na [[Wamakonde]].▼
Tanzania ni nchi pekee ya Afrika ambamo wakazi asili wanawakilisha makundi makuu yote ya makabila ya [[Kusini kwa Sahara]].▼
Idadi kubwa sana ya Watanzania ni wa jamii ya [[Wabantu]]. ▼
Nje ya hao, kuna [[Waniloti]], kwa mfano [[Wamasai]] na [[Wajaluo]] ambao wengi wao zaidi wanaishi [[Kenya]]. ▼
Kundi lingine ni makabila ya [[Wakushi]] wanaoishi kaskazini mwa Tanzania; hao ni makabila ya [[Wairaqw]], [[Wafiome]] na [[Wasi]]. ▼
Kuna vikundi viwili vya [[Wakhoisan]] wanaofanana na makabila ya [[Botswana]] na [[Namibia]]; majina yao ni [[Wasandawe]] na [[Waburunge]].▼
Hatimaye kuna [[Wahadzabe]] wachache ambao utafiti wa DNA umeonyesha hivi karibuni wana uhusiano wa asili na [[Watwa]] wa nchi za [[Afrika ya Kati]].▼
Pia kuna asilimia ndogo ya watu wenye asili ya nje ya bara la [[Afrika]], kwa mfano [[Wahindi]], [[Waarabu]], [[Waindochina]], [[Wafarsi]], [[Wachina]] na [[Waingereza]]. Hii ilisababishwa na karne za mchanganyiko wa mahitaji ya biashara yaliofanywa na mabara ya [[Ulaya]] na [[Asia]] hapo [[Afrika]].▼
== Lugha ==▼
Nchini Tanzania kuna [[lugha]] za [[kabila|kikabila]] zaidi ya mia moja na ishirini, kwa kuwa kila kabila lina lugha yake. ▼
[[Kiswahili]] ndiyo [[lugha ya taifa]] na inazidi kuwa [[lugha mama]] kwa watoto wengi, hasa mijini. Walau asilimia 90 za wakazi wanakitumia walau kama [[lugha ya pili]]. Kiswahili ni mojawapo kati ya lugha za [[Kibantu]]: hii imesaidia sana kukubaliwa kwa Kiswahili nchini, kwa sababu idadi kubwa ya Watanzania ni wasemaji wa [[lugha za Kibantu]].▼
Kiswahili kinatumika kama lugha baina ya watu wa makabila mbalimbali na kwa mambo rasmi; kwa hiyo ni lugha rasmi ya [[dhati]].▼
Baada ya [[uhuru]], [[Kiingereza]] (iliyokuwa lugha ya [[ukoloni|kikoloni]] kabla ya [[uhuru]]) iliendelea kutumika kwa mambo kadhaa rasmi na kwa [[elimu]] kuanzia [[sekondari]], na kwa hiyo ilichukuliwa kama lugha rasmi ya dhati pamoja na Kiswahili.▼
Lakini utumizi rasmi wa Kiingereza umepungua katika milongo iliyopita, na sasa utumizi huu karibu umekwisha. Kwa hiyo siku hizi ni kawaida zaidi kuchukulia Kiswahili kama lugha rasmi ya dhati pekee. ▼
[[Sera]] mpya ya elimu inakusudia kufanya Kiswahili kuwa [[lugha ya kufundishia]] katika ngazi zote kufikia mwaka [[2024]].▼
==Utawala==
Line 243 ⟶ 209:
|}
==
▲Watu wa Tanzania hawaenei sawasawa. Katika maeneo makavu sana, kuna mtu mmoja tu kwenye kilomita ya mraba (1/km²), lakini sehemu zenye [[rutuba]] za [[bara]], kuna watu 51 kwa kila kilomita ya mraba. Hatimaye huku [[Unguja]] kuna watu 134 kwa kilomita ya mraba na katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]] ni 3,133 kwa kilomita ya mraba.
▲Asilimia 70 hivi huishi [[kijiji|vijijini]].
===Makabila===
▲Kuna [[Orodha ya makabila ya Tanzania|makabila 125 hivi]]. Ma[[kabila]] yenye watu zaidi ya [[milioni]] moja ni [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]], [[Wachaga]], [[Waha]], [[Wagogo]], [[Wahaya]], [[Wajaluo]] na [[Wamakonde]].
▲Tanzania ni nchi pekee ya Afrika ambamo wakazi asili wanawakilisha makundi makuu yote ya makabila ya [[Kusini kwa Sahara]].
▲Idadi kubwa sana ya Watanzania ni wa jamii ya [[Wabantu]].
▲Nje ya hao, kuna [[Waniloti]], kwa mfano [[Wamasai]] na [[Wajaluo]] ambao wengi wao zaidi wanaishi [[Kenya]].
▲Kundi lingine ni makabila ya [[Wakushi]] wanaoishi kaskazini mwa Tanzania; hao ni makabila ya [[Wairaqw]], [[Wafiome]] na [[Wasi]].
▲Kuna vikundi viwili vya [[Wakhoisan]] wanaofanana na makabila ya [[Botswana]] na [[Namibia]]; majina yao ni [[Wasandawe]] na [[Waburunge]].
▲Hatimaye kuna [[Wahadzabe]] wachache ambao utafiti wa DNA umeonyesha hivi karibuni wana uhusiano wa asili na [[Watwa]] wa nchi za [[Afrika ya Kati]].
▲Pia kuna asilimia ndogo ya watu wenye asili ya nje ya bara la [[Afrika]], kwa mfano [[Wahindi]], [[Waarabu]], [[Waindochina]], [[Wafarsi]], [[Wachina]] na [[Waingereza]]. Hii ilisababishwa na karne za mchanganyiko wa mahitaji ya biashara yaliofanywa na mabara ya [[Ulaya]] na [[Asia]] hapo [[Afrika]].
▲=== Lugha ===
▲Nchini Tanzania kuna [[lugha]] za [[kabila|kikabila]] zaidi ya mia moja na ishirini, kwa kuwa kila kabila lina lugha yake.
▲[[Kiswahili]] ndiyo [[lugha ya taifa]] na inazidi kuwa [[lugha mama]] kwa watoto wengi, hasa mijini. Walau asilimia 90 za wakazi wanakitumia walau kama [[lugha ya pili]]. Kiswahili ni mojawapo kati ya lugha za [[Kibantu]]: hii imesaidia sana kukubaliwa kwa Kiswahili nchini, kwa sababu idadi kubwa ya Watanzania ni wasemaji wa [[lugha za Kibantu]].
▲Kiswahili kinatumika kama lugha baina ya watu wa makabila mbalimbali na kwa mambo rasmi; kwa hiyo ni lugha rasmi ya [[dhati]].
▲Baada ya [[uhuru]], [[Kiingereza]] (iliyokuwa lugha ya [[ukoloni|kikoloni]] kabla ya [[uhuru]]) iliendelea kutumika kwa mambo kadhaa rasmi na kwa [[elimu]] kuanzia [[sekondari]], na kwa hiyo ilichukuliwa kama lugha rasmi ya dhati pamoja na Kiswahili.
▲Lakini utumizi rasmi wa Kiingereza umepungua katika milongo iliyopita, na sasa utumizi huu karibu umekwisha. Kwa hiyo siku hizi ni kawaida zaidi kuchukulia Kiswahili kama lugha rasmi ya dhati pekee.
▲[[Sera]] mpya ya elimu inakusudia kufanya Kiswahili kuwa [[lugha ya kufundishia]] katika ngazi zote kufikia mwaka [[2024]].
{{Main|Dini nchini Tanzania}}
Nchi haina [[dini rasmi]] na [[katiba]] ya Tanzania inatangaza [[uhuru wa dini]] kwa wote. Mara nyingi idadi ya wafuasi wa [[dini]] hutajwa kuwa theluthi moja [[Uislamu|Waislamu]], theluthi moja [[Ukristo|Wakristo]] na theluthi moja wafuasi wa [[dini za jadi]]. Lakini tangu [[uhuru]] swali la dini ya wananchi halijaulizwa tena katika [[sensa]], kwa hiyo kadirio la theluthi-theluthi inawezekana ni zaidi azimio la kisiasa.
|