Tofauti kati ya marekesbisho "Waziri mkuu"

24 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14212 (translate me))
 
=== Waziri Mkuu katika muundo wa [[serikali ya kiraisi]] au kifalme ===
* waziri mkuu kama kiongozi wa serikali tu chini ya usimamizi wa rais au mfalme anayeshika madaraka makubwa. <br />Mifano: [[Waziri Mkuu wa Tanzania|Tanzania]], [[Ufaransa]].<br /> Katika muundo huu rais huchaguliwa na wananchi wote. Yeye anamteua waziri mkuu, mara nyingi hata mawaziri wenyewe.
 
Katiba inaweza kusema ya kwamba rais ni huru kumchagua waziri mkuu hata bila kujali idadi ya wabunge wake bungeni.