Sydney : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 52:
}}
'''Sydney''' ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya [[Australia]]. Sydney ni mji mkubwa wa [[New South Wales]]. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini [[Australia]]. Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya [[Uingereza]], na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa [[Uingereza|Kiingereza]] na [[Ireland|Kiayalendi]]. The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika [[Australia]]. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari mazuri ya bandari na ni sehemu pakujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.
 
== Panorama ==
{{wide image|Sydney Tower Panorama.jpg|1000px|align-cap=center|View of Sydney from [[Sydney Tower]]}}
{{wide image|Sydney Panorama.jpg|1000px|align-cap=center|[[Sydney central business district|Sydney CBD]] panorama from [[Taronga Zoo]], Mosman}}
 
 
==Viungo vya nje==