Jean-Jacques Rousseau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|it}} using AWB (10903)
d +tarehe ya kuzaliwa
 
Mstari 1:
[[Picha:Jean-Jacques Rousseau (painted portrait).jpg|thumb|Jean-Jacques Rosseau]]
'''Jean-Jacques Rousseau''', ([[28 Juni]], [[1712]] – [[2 Julai]], [[1778]]) alikuwa mwanafalsafa, mwandishi na mwanasayansi mashuhuri nchini [[Ufaransa]] wakati wa kipindi cha [[mwangaza]]. Alizaliwa mjini [[Geneva]] ([[Uswisi]]) akajiona mwenyewe kama mtu wa Geneva maisha yote.
 
Athira yake ilikuwa muhimu kwa maandalizi ya [[mapinduzi ya Kifaransa]] iliyoanza baada ya kifo chake na pia kwa nadharia za kisiasa za karne za 19 na 20.