Tofauti kati ya marekesbisho "Baraza la mawaziri Tanzania"

no edit summary
[[Baraza la Mawaziri la Tanzania]] ni ngazi ya juu ya [[serikali]] au mkono wa utendaji wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] katika mfumo yawa [[mgawanyo wa madaraka]].
 
Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. <ref>{{cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/cabinet.htm |title=Cabinet of Tanzania |date= May 2012 |publisher= ''tanzania.go.tz'' |accessdate=May 2012}}</ref> Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. [[Mwanasheria Mkuu]] anashiriki katika mikutano ya baraza bila [[haki ya kupiga kura]].
 
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.<ref>[http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf Katiba ya Tanzania, fungu 54]</ref>
 
Serikali iliyopo ilitangazwa na [[John Magufuli]], rais wa tano wa Tanzania baada ya [[uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba 2015|uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015]] mnamo tarehe [[10 Desemba]] [[2015]].
 
{| class=wikitable
| align=center|<small>(hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)</small>
|-
| style="background:#cccccc;" colspan="5" | '''(anahudguriaanahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura'''
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[George Masaju]]
|}
 
 
==Marejeo==