1968 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
== Matukio ==
* [[12 Machi]] - [[Visiwa]] vya [[Morisi]] vinapata [[uhuru]] kutoka [[Uingereza]].
* [[12 Oktoba]] - Nchi ya [[Guinea ya Ikweta]] inapata uhuru kutoka [[Hispania]].
 
Mstari 10:
{{Kalenda za Dunia}}
 
* [[19 Aprili]] - [[Mswati III]], [[mfalme]] wa [[Uswazi]]
* [[28 Mei]] - [[Kylie Minogue]], [[mwimbaji]] na [[mwigizaji]] [[filamu]] kutoka [[Australia]]
* [[5 Julai]] - [[George Boniface Simbachawene]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
* [[20 Julai]] - [[Kool G Rap]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Marekani]]
* [[5 Agosti]] - [[Marine Le Pen]], mwanasiasa wa [[Ufaransa]]
* [[25 Septemba]] - [[Will Smith]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
Mstari 20:
* [[2 Desemba]] - [[Lucy Liu]], mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
* [[3 Desemba]] - [[Montell Jordan]], mwanamuziki kutoka [[Marekani]]
* [[18 Desemba]] - [[Casper Van Dien]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[21 Februari]] - [[Howard Walter Florey]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1945]])
* [[27 Machi]] - [[Yuri Gagarin]] ([[rubani]] [[Urusi|Mrusi]] na mtu wa kwanza aliyefika katika [[anga la nje]])
* [[1 Aprili]] - [[Lev Landau]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1962]])
* [[4 Aprili]] - [[Martin Luther King, Jr.]], [[mchungaji]] na [[mwanaharakati]] kutoka [[Marekani]], aliuawa kwa kupigwa risasi na adui wa imani yake.
* [[1 Juni]] - [[Helen Keller]], [[mwandishi]] asiyeona wala kusikia kutoka nchini [[Marekani]]
* [[14 Juni]] - [[Salvatore Quasimodo]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1959]])
* [[7 Julai]] - [[Leo Sowerby]] ([[mtungaji muziki]] [[Marekani|Mmarekani]], na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1946]])
* [[18 Julai]] - [[Corneille Heymans]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]], mwaka wa [[1938]])
* [[23 Julai]] - [[Henry Dale]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1936]])
* [[28 Julai]] - [[Otto Hahn]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1944]])
* [[23 Septemba]] - [[Mtakatifu]] [[Pio wa Pietrelcina]], [[padri]] na [[mtawa]] wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] [[Wakapuchini]] kutoka [[Italia]]
* [[20 Oktoba]] - [[Archibald Jordan]], mwandishi na [[mwanahistoria]] wa [[Afrika Kusini]]
* [[30 Oktoba]] – [[Conrad Michael Richter]], mwandishi wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]] mwaka wa [[1951]]
* [[18 Desemba]] - [[Casper Van Dien]], mwigizaji filamu kutoka [[Marekani]]
* [[20 Desemba]] - [[John Steinbeck]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1962]])
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}