2005 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
 
== Waliofariki ==
* [[20 Januari]] - [[Per Borten]], [[mwanasiasa]] wa [[Norwei]]
* [[6 Machi]] - [[Hans Bethe]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1967]])
* [[2 Aprili]] - [[Mtakatifu]] [[Papa Yohane Paulo II]] ([[1978]]-2003), [[Papa]] wa kwanza kutoka [[Poland]]
* [[5 Aprili]] - [[Saul Bellow]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1976]])
* [[20 Juni]] - [[Jack Kilby]], [[mhandisi umeme]] kutoka [[Marekani]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[2000]]
* [[27 Juni]] - [[George Lilanga]], [[msanii]] [[Wamakonde|Mmakonde]] kutoka [[Tanzania]]
* [[28 Juni]] - [[Geoffrey William Griffin]], [[mkurugenzi]] [[mwanzilishi]] wa [[Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe]], [[Kenya]]
* [[6 Julai]] - [[Claude Simon]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1985]])
* [[30 Julai]] - [[John Garang]], [[Rais]] wa kwanza wa [[Sudan Kusini]]
* [[16 Agosti]] - [[Frere Roger]] (Roger Schutz), [[mtawa]] kutoka [[Uswisi]], aliuawa kanisani[[kanisa]]ni na [[mwanamke]] aliyeharibika kiakili.
* [[27 Septemba]] - [[Ronald Golias]], [[mwigizaji]] wa [[filamu]] kutoka [[Brazil]]
* [[14 Oktoba]] - [[Poxi Presha]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Kenya]]
* [[24 Oktoba]] - [[Rosa Parks]], [[mwanaharakati]] dhidi ya [[ubaguzi wa rangi]]
* [[28 Oktoba]] - [[Richard Smalley]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1996]])
* [[16 Novemba]] - [[Henry Taube]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1983]]
* [[26 Desemba]] - [[Vincent Schiavelli]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}