2006 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
== Waliofariki ==
* [[4 Januari]] - [[Maktoum bin Rashid Al Maktoum]], [[Waziri Mkuu]] wa [[Umoja wa Falme za Kiarabu]] na [[mtawala]] wa [[Dubai]]
* [[28 Februari]] - [[Owen Chamberlain]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1959]])
* [[7 Machi]] - [[Gordon Parks]], [[msanii]] wa [[Marekani]]
* [[7 Machi]] - [[Ali Farka Toure]], ([[mwanamuziki]] kutoka nchi ya [[Mali]])
* [[11 Machi]] - [[Slobodan Milosevic]], [[Rais]] wa [[Serbia]] ([[1989]]-[[2000]])
* [[20 Machi]] - [[Ali Muhsin al-Barwani]], [[mwanasiasa]] kutoka [[Zanzibar]]
* [[29 Machi]] - [[Moshi William]], (mwanamuziki kutoka [[Tanzania|Mtanzania]])
* [[19 Aprili]] - [[Ellen Kuzwayo]], [[mwandishi]] kutoka [[Afrika Kusini]]
* [[14 Mei]] - [[Robert Merrifield]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1984]]
* [[31 Mei]] - [[Raymond Davis]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[2002]]
* [[4 Julai]] - [[Lars Korvald]], mwanasiasa kutoka [[Norwei]]
* [[11 Agosti]] - [[Mazisi Kunene]], mwandishi kutoka [[Afrika Kusini]]
* [[19 Agosti]] - [[Joseph Hill]], [[mwimbaji]] kutoka [[Jamaika]]
* [[28 Agosti]] - [[Melvin Schwartz]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1988]])
* [[30 Agosti]] - [[Nagib Mahfuz]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1988]])
* [[9 Oktoba]] - [[Marek Grechuta]], mwanamuziki kutoka [[Poland]]
* [[31 Oktoba]] - [[PW Botha|Pieter Willem Botha]], [[Waziri Mkuu]] na Rais wa [[Afrika Kusini]]
* [[1 Novemba]] - [[William Styron]], (mwandishi wa [[Marekani|Mmarekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]] mwaka wa [[1968)]]
* [[26 Desemba]] - [[Gerald Ford]], Rais wa [[Marekani]] ([[1974]]-77[[1977]])
* [[30 Desemba]] - [[Saddam Hussein]] aliyekuwa, rais wa [[Iraki]] hadi mwaka [[2003]], akanyongwaananyongwa baada ya kuhukumiwa [[adhabu ya mautikifo]] kwa makosa ya [[jinai]] dhidi ya [[binadamu.]]
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}