Wamarekani weusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Louis Armstrong restored.jpg|thumb|100x100px|[[Mwanamuziki]] [[Louis Armstrong]]]]
[[Picha:Martin Luther King Jr NYWTS.jpg|thumb|100x100px|[[Mwanaharakati]] [[Martin Luther King]]]]
[[Picha:Robert Curbeam cropped.jpg|thumb|100x100px|[[Mwanaanga]] [[Robert Curbeam]]]]
 
'''Wamarekani weusiWeusi''' ni watu wanaoishi nchini [[Marekani]] wakiwa na mababu waliotoka ma[[Afrikababu]]. Mara nyingi mababu hao walipelekwa Marekani kamawaliotoka [[watumwaAfrika]] katika karne zilizopita. Jina hili laweza kutaja pia watu ambao wazazi wao au hao wenyewe walihamia Marekani kutoka Afrika karibuni tu.
 
Mara nyingi mababu hao walipelekwa Marekani kama [[watumwa]] katika [[karne]] zilizopita.
Watumwa walipelekwa Marekani kutoka Afrika kati ya 1619 na 1807 hasa wakati usafirishaji wa watumwa kutoka Afrika ulipigwa marufuku. Katika utamaduni wa Marekani kila mtu mwenye babu Mwafrika huhesabiwa kama "mtu mweusi" hata kama uzazi wake ni wa [[chotara]] na sehemu kubwa walikuwa watu weupe.
 
[[Jina]] hili linaweza kutaja pia watu ambao [[wazazi]] wao au wenyewe walihamia Marekani hivi karibuni tu kutoka Afrika au kutoka nchi nyingine, hasa za [[Karibi]] na [[Amerika Kusini]].
Siku hizi Wamarekani weusi wengi huishi mjini lakini bado kuna maeneo penye Wamarekani weusi wengi mashambani katika kusini ya nchi.
 
Watumwa walipelekwa Marekani kutoka Afrika kati ya miaka [[1619]] na [[1807]] hasa wakati usafirishaji wa watumwa kutoka Afrika ulipigwa [[marufuku]].
Kwa jumla kuna watu 39,151,870 wanaohesibwa kama Waamerika weusi na hao ni asilimia 13 ya Wamarekani wote.
 
Watumwa walipelekwa Marekani kutoka Afrika kati ya 1619 na 1807 hasa wakati usafirishaji wa watumwa kutoka Afrika ulipigwa marufuku. Katika [[utamaduni]] wa Marekani kila mtu mwenye babu Mwafrika huhesabiwa kama "mtu mweusi" hata kama uzazi[[DNA|urithi wake wa kinasaba]] ni wa ki[[chotara]] na sehemu kubwa walikuwani watuwa weupe[[Wazungu|Kizungu]].
 
Utafiti kwamba kwa wastani, [[damu]] yenye asili ya Afrika imechangia 78.1%, ile ya [[Ulaya]] 18.5% na ya [[Waindio|Kiindio]] 3%.
 
Siku hizi Wamarekani weusi wengi huishi mjini[[Mji|mijini]] lakini bado kuna maeneo penyeyenye Wamarekani weusi wengi [[shamba|mashambani katika]] kusini yamwa nchi.
 
Kwa jumla kuna watu 39,151,870 wanaohesibwa kama Waamerika weusi na hao ni asilimia 13.5 ya Wamarekani wote. Wengi wao ni [[Wakristo]] [[Waprotestanti]].
 
Mashuhuri kati ya Wamarekani weusi ni wanamuziki kama [[Louis Armstrong]], wanasiasa kama [[Martin Luther King, Jr.]] au [[Barack Obama]] na waandishi kama [[Toni Morrison]].
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Wamarekani weusi| ]]