1953 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 4:
 
== Matukio ==
*[[29 Mei]] - [[Tenzing Norgay]] na [[Edmund Hillary]] ni watu wa kwanza kufikia kilele cha [[Mount Everest]], [[mlima]] mrefu kabisa [[duniani]].
*[[18 Juni]] - Nchi ya [[Misri]] imetangazwa kuwa [[jamhuri]].
 
Mstari 10:
{{Kalenda za Dunia}}
 
*[[1 Januari]] - [[Alpha Blondy]], [[mwanamuziki]] kutoka [[Cote d'Ivoire]]
*[[9 Mei]] - [[Bernard Kamilius Membe]], [[mwanasiasa]] wa [[Tanzania]]
*[[16 Mei]] - [[Pierce Brosnan]], [[mwigizaji]] [[filamu]] kutoka [[Ireland]]
*[[21 Juni]] - [[Benazir Bhutto]], mwanasiasa kutoka [[Pakistan]]
*[[23 Juni]] - [[Filbert Bayi]], [[mwanariadha]] kutoka [[Tanzania]]
*[[24 Juni]] - [[Aloyce Bent Kimaro]], mwanasiasa wa [[Tanzania]]
*[[25 Agosti]] - [[Maurizio Malvestiti]], [[askofu]] [[Mkatoliki]] nchini [[Italia]]
*[[26 Agosti]] - [[Edward Lowassa]], [[Waziri Mkuu]] wa [[Tanzania]]
 
'''bila tarehe'''
* [[Isabel Hofmeyr]], [[mwandishi]] wa [[Afrika Kusini]]
 
== Waliofariki ==
*[[5 Machi]] - [[Josef Stalin]], kiongozi wa [[Umoja wa Kisovyeti]] tangu mwaka [[1924]]
*[[8 Novemba]] - [[Ivan Bunin]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1933]])
*[[27 Novemba]] - [[Eugene O'Neill]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka wa [[1936]])
*[[14 Desemba]] – [[Marjorie Rawlings]], (mwandishi wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]], mwaka wa [[1939]])
*[[19 Desemba]] - [[Robert Millikan]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] mwaka wa [[1923]])
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat}}