17 Juni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 145 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2672 (translate me)
Mstari 3:
 
== Waliozaliwa ==
* [[1603]] - Mtakatifu [[Yosefu wa Kopertino]], mtawa wa shirika la [[Ndugu Wadogo]] kutoka [[Italia]]
* [[1882]] - [[Igor Stravinsky]], mtunzi wa muziki kutoka [[Urusi]]
* [[1914]] – [[John Hersey]], mwandishi wa [[Marekani]] na mshindi wa [[Tuzo ya Pulitzer]] mwaka wa [[1945]]