George Tyson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
{{umbo}}
No edit summary
Mstari 1:
'''George Tyson''' (jina la kuzaliwa '''George Otieno Okumu''') alikuwa muongozaji wa filamu kutoka [[Kenya]]. Alifanya kazi hasa nchini [[Tanzania]]. Alijulikana kwa kuongoza [[filamu]] kama ''Girl Friend'' na ''Dilemma''. Tyson alifariki katika ajali ya gari tarehe [[30 Mei]], [[2014]] aliporudi kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam. Wakati wa kifo chake alikuwa na umri wa miaka 41.
{{umbo}}
'''George Tyson.''' ni Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson Mwenye Asili ya [[Kenya]] anaye fanyia shughuli zake nchini [[Tanzania ]]amejizolea [[Umaarufu]] Mkubwa nchini [[Tanzania]] kwa Kuongoza baadhi ya [[Filamu]] za Kitanzania na hizo [[Filamu]] ya kwanza ni Girl Friend na Dillema, Jamaa ana mtindo wa kipekee kwenye [[Filamu]] ambazo yeye anongoza mara nyingi huweka watu wazito kivipi. yaani yeye hufanya kazi na wasanii wa [[Bongo Flava ]]au Wabunge au Watangazaji hapo tu ndo amekuwa tofauti na waongozaji wengine wa [[Filamu]].
 
==Marejeo==
* ('''''en''''') [http://www.bongocelebrity.com/2014/05/30/george-tyson-has-passed-away-rip-bro/ habari za kifo cha Tyson]
* [http://www.jestina-george.com/2014/05/picha-za-marehemu-george-tyson-masaa-4.html picha za Tyson]
 
{{Mbegu-mtu}}
 
{{DEFAULTSORT:Tyson, George}}
[[Category: Waongozaji wa Filamu za Tanzania]]
[[CategoryJamii: WaandaajiWaongozaji Filamu zawa TanzaniaKenya]]
[[CategoryJamii: Waongozaji Filamu zawa Tanzania]]
[[Jamii:Waliofariki 2014]]
[[CategoryJamii: Waongozaji wa Filamu za Tanzania]]