Karne ya 2 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8103 (translate me)
No edit summary
Mstari 4:
'''Karne ya 2''' ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya [[101]] na [[200]]. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 101 na kuishia 31 Desemba 200. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "[[baada ya Kristo]]".
 
Kama kila "[[karne]]" ni kipindi kinachohesabiwa kwa [[hiari]] ya kibinadamu[[binadamu]] kwa sababu ni mgawanyo wa [[kalenda]] tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
 
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.
 
== Watu na matukioMatukio ==
{{MuongoKarne|2}}
 
 
* [[Dola la Roma]] linafurahia amani iliyopatikana kuanzia utawala wa [[Kaisari Augusto]] na linafikia kilele cha ustawi wake kwa kuteka mji wa [[Susa]] ([[Uajemi]])
* [[Dini]] mpya ya [[Ukristo]] inazidi kuenea haraka ingawa inapitia [[dhuluma]] za [[serikali]]
* [[Dola la Axum]] linajitokeza katika [[Ethiopia]] ya leo
* Namna ya kutengeneza [[karatasi]] inabuniwa huko [[China]]
 
== Watu muhimu ==
* [[Kaisari Trajan]]
* [[Kaisari Hadrian]]
* [[Marcus Aurelius|Kaisari Marko Aurelio]]
* [[Ignas wa Antiokia]], [[askofu]] na [[mfiadini]]
* [[Yustino mfiadini]], [[mwanafalsafa]]
* [[Polikarpo Mtakatifu|Polikarpo]], askofu na mfiadini
* [[Irenei]] wa [[Lyon]], askofu na [[mwanateolojia]]
 
 
[[Jamii:Karne]]