Utoaji mimba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 langlinks, now provided by Wikidata on d:q8452
uavyaji
Mstari 1:
[[Picha:Human fetus 10 weeks - therapeutic abortion.jpg|thumb|Mimba ya wiki 10 hivi iliyotolewa tumboni mwa mama kwa njia ya [[upasuaji]].]]
 
'''UtoajiUavyaji wa mimba''' ni tendo la [[hiari]] la [[uuaji|kuua]] [[mimba]] iliyokwishatungwa tumboni mwa [[mwanamke]]. Unaweza kufanywa naye au na watu wengine kwa kibali chake au bila ya hicho. Sababu zinaweza kuwa mbalimbali: hatari kwa [[uhai]] wa mjamzito, [[haya]], hali ya [[uchumi]], [[ulemavu]] wa mama au wa mimba, [[ubaguzi wa jinsia]] n.k.
 
Ni tofauti na tukio lisilokusudiwa la [[mimba kuharibika]] kwa sababu mbalimbali.