Mnara wa Eiffel : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Tour Eiffel - 20150801 15h30 (10621).jpg|thumbnail]]
'''Mnara wa Eiffel''' (kwa [[Kifaransa]]: ''Tour Eiffel'') ni [[jengo]] mashuhuri la [[mji]] wa [[Paris]] nchini [[Ufaransa]]. Mnara huu ulijengwa kando ya [[mto Seine]] [[1887]] hadi [[1889]] kama geti ya [[Maonyesho ya Dunia]] ya 1889. Kimo chake ni mita 300 na juu yake kuna antena ya redio jumla ya kimo inafikia mita 324. Kati ya 1889–1930 ilikuwa jengo kubwa la dunia.
 
[[Mnara]] huu ulipokea [[jina]] lake kutoka kwa [[mjenzi]] wake aliyekuwa [[mhandisi]] [[Alexandre Gustave Eiffel]]. Kila mwaka hutembelewa na wageni milioni sita wanaoipanda kwa kutumia ngazi 1,665.
 
[[Kimo]] chake ni [[mita]] 300 na juu yake kuna [[antena]] ya [[redio]] jumla ya kimo inafikia mita 324.
 
Mnara huu ulijengwa kando ya [[mto Seine]] miaka [[1887]] hadi [[1889]] kama [[geti]] la [[Maonyesho ya Dunia]] ya mwaka 1889.
 
Mwanzoni watu wa Paris hawakupenda mnara huo: wengine walidai ubomolewe mara moja baada ya [[maonyesho]]. Lakini [[idadi]] kubwa ya [[watalii]] iliufanya kuwa [[ishara]] ya mji wa Paris na watu walianza kuuzoea.
 
Kati ya miaka 1889–[[1930]] ilikuwa jengo kubwa la [[dunia]] nzima.
Mwanzoni watu wa Paris hawakupenda mnara wengine walidai ubomolewe mara moja baada ya maonyesho. Lakini idadi kubwa ya watalii iliufanya kuwa ishara ya mji wa Paris na watu walianza kuuzoea. Mwaka [[1906]] mnara uliwezesha [[mawasiliano]] ya kwanza kwa [[simu hewa]] kati ya [[Ulaya]] na [[Marekani]] kuvukia [[Atlantiki]] kwa sababu ya kimo chake kikubwa. [[Wanajeshi]] walikuwa na kituo cha mawasiliano ya simu mnarani.
 
Kila [[mwaka]] hutembelewa na wageni [[milioni]] sita wanaoipanda kwa kutumia [[ngazi]] 1,665.
== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Njenje ==
* [http://www.tour-eiffel.fr/teiffel/uk/ Tovuti rasmi ya Mnara wa Eiffel]
* [http://www.world-city-photos.org/Paris/photos/Eiffel_Tower/ Picha za Mnara wa Eiffel]
* [http://zsmith.net Video za Mnara wa Eiffel]
 
muluzi arrested
 
{{mbegu-jio-Ufaransa}}