Tofauti kati ya marekesbisho "Baraza la mawaziri Tanzania"

no edit summary
[['''Baraza la Mawaziri la Tanzania]]''' ni ngazi ya juu ya [[serikali]] au mkono wa utendaji wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] katika mfumo wa [[mgawanyo wa madaraka]].
 
Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. <ref>{{cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/cabinet.htm |title=Cabinet of Tanzania |date= May 2012 |publisher= ''tanzania.go.tz'' |accessdate=May 2012}}</ref> Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. [[Mwanasheria Mkuu]] anashiriki katika mikutano ya baraza bila [[haki ya kupiga kura]].