Serikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Serikali''' (kutoka [[Kiajemi]] سرکاری, ''serkari'', - mamlaka) ni watu na [[taasisi]] ndani ya [[jamii]] hasa [[dola]] vyenye [[mamlaka]] ya kutawala na kufanya maazimio kwa wote katika eneo fulani.
 
Serikali inatunza na kutekeleza [[sheria]], [[kanuni]] na miongozo na kuendesha [[shughuli]] muhimu za [[umma]].
 
[[Shabaha]] kuu ya serikali ni kutunza [[amani]] na usalama wa [[raia]] katika jamii.
 
==Mifumo mbalimbali ya serikali==