Tofauti kati ya marekesbisho "Babeli"

140 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Ish-tar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya [[geti]] la [[Ishtar]] huko Babeli.]]
'''Babeli''' ulikuwa [[mji]] wa kale katika [[Mesopotamia]], muhimu kwa [[karne]] nyingi kama [[mji mkuu]] wa [[milki]] zilizotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]].
 
Inatajwa mara nyingi katika [[Biblia]], hatahasa kwa jina la [[Babuloni]].
 
[[Maghofu]] yake hupatikana karibu na mji wa kisasa wa [[Al Hillah]] ([[Irak]]) kando ya [[mto]] [[Frati]] 90 [[km]] 90 [[kusini]] mwakwa [[Baghdad]].
 
==Historia==
[[Orodha]] ya [[wafalme]] wake ilianza mnamo mwaka [[2300 KK]] hivi. [[Mfalme]] mashuhuri wa kwanza alikuwa [[Hammurabi]].
 
Babeli ulikuwa mji mkuu wa madola mawili makubwa kabla na baada ya kipindi cha enzi ya [[Ashuru]]. Kati ya [[1770 KK]] hadi [[1670 KK]] na mara ya pili kati ya [[612 KK]] na [[320 KK]] inaaminika ulikuwa mji mkubwa zaidi duniani.
 
WakatiKati waya Dolamiaka la[[1770 Pili laKK]] Babeli mfalmena [[Nebukadreza1670 IIKK]] alitawalana nchimara zoteya pili kati ya [[Palestina]]miaka ([[Kanaani612 KK]] auna [[Israeli320 KK]]) hadiinaaminika [[Ghubaulikuwa yamji Uajemimkubwa zaidi [[duniani]].
 
Wakati wa [[Dola la Pili la Babeli]] mfalme [[Nebukadreza II]] alitawala nchi zote kati ya [[Palestina]] ([[Kanaani]] au [[Israeli]]) hadi [[Ghuba ya Uajemi]].
 
[[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]].
 
[[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika [[kitabu cha Mwanzo]] (katika [[Tanakh]], yaani [[Biblia ya Kiebrania]], na katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]).
 
Wakati ule [[jeshi]] la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalemu]] mwaka [[587 KK]], kubomoalilibomoa [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu la Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]].
 
Inaaminika ya kwamba sehemu kubwa za [[Biblia ya Kiebrania]] ziliandikwa uhamishoni kule Babeli.
 
Mwaka [[539 KK]] [[Waajemi]] walivamia [[Dola la Babeli]] na kuliteka. Babeli uliendelea kuwa mji muhimu katika [[Dola la Uajemi]].
 
Baada ya [[ushindi]] wa [[Aleksanda Mkuu]] juu ya mfalme Mwajemi [[Darius III]], Babeli ulikuwa chini ya utawala wa [[Wagiriki]]. Aleksanda alikufa Babeli mwaka [[323 KK]] katika [[jumba la kifalme]] la Nebukadreza.
 
Mwaka [[275 KK]] Wagiriki walijenga [[mji mkuu]] mpya wakawalazimisha wakazi wa Babeli kuhamia huko [[Seleukia]]. Huo ulikuwa mwisho wa mji ule mkubwa.
 
Mataifa ya Kalekale walikumbuka mji wa Babeli kwa muda mrefu. [[1Pet|Barua ya kwanza ya Petro]] na kitabu cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] (kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]]) vinatumia jina la Babeli kama jina la kitendawili kuashiria [[Roma]].
 
[[1Pet|Barua ya kwanza ya Petro]] na [[kitabu]] cha [[Ufunuo wa Yohane]] katika [[Agano Jipya]] (kilichoandikwa mnamo mwaka [[90]] [[BK]]) vinatumia jina la Babeli kama [[jina la fumbo]] kuashiria [[Roma]].
 
[[Jamii:Historia ya Iraq]]