Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ish-tar Gate detail.jpg|thumb|200px|right|Sehemu ya [[geti]] la [[Ishtar]] huko Babeli.]]
[[Picha:Pieter Bruegel the Elder - The Tower of Babel (Vienna) - Google Art Project - edited.jpg|thumb|350px|Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na [[wasanii]] kama katika [[picha]] hii ya [[Pieter Brueghel Mzee]].]]
'''Babeli''' ulikuwa [[mji]] wa kale katika [[Mesopotamia]], muhimu kwa [[karne]] nyingi kama [[mji mkuu]] wa [[milki]] zilizotawala maeneo makubwa ya [[Mashariki ya Kati]].
 
Line 17 ⟶ 18:
[[Mabustani ya Semiramis|Bustani ya malkia Semiramis]] ilikuwa moja ya [[maajabu saba ya dunia]].
 
[[Piramidi]] au [[zigurat]] kubwa za mji zilikuwa maarufu na mfano wao ni [[mnara wa Babeli]] unaotajwa katika [[kitabu cha Mwanzo]] 11:1-9 (katika [[Tanakh]], yaani [[Biblia ya Kiebrania]], na katika [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]).
 
Wakati ule [[jeshi]] la Babeli liliteka mji wa [[Yerusalemu]] mwaka [[587 KK]], lilibomoa [[Hekalu la Yerusalemu|hekalu la Suleimani]] na kuwapeleka [[Wayahudi]] hadi Mesopotamia kwa [[uhamisho wa Babeli]].